iqna

IQNA

bahman 22
Ulimwengu wa Kiislamu
IQNA-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei, anasema wasomi wa Ulimwengu wa Kiislamu wanabeba dhima nzito kuhusiana na matukio yanayojiri huko Gaza na kwamba wanapaswa kuanzisha matakwa ya umma ya kukata uhusiano na utawala wa Kizayuni wa Israel.
Habari ID: 3478310    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/05

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amekutana na maelefu ya watu kutoka mji wa Tabriz na kusisitiza kuwa: "Ujumbe wa taifa katika matembezi ya Bahman 22 (11 Februari) ulikuwa ni istikama na kuunga mkono Mapinduzi kikamilifu"
Habari ID: 3476567    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/15

Alfajiri 10 za Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA)- Wananchi wa Iran wameanza sherehe za Alfajiri Kumi katika kona zote za nchi kwa ajili ya kuadhimisha miaka 44 ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya mwaka 1979 nchini Iran ambayo yaliupindua utawala wa kitaghuti wa Kipahlavi uliokuwa unaungwa mkono kila upande na Marekani.
Habari ID: 3476499    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/01

Kwa mnasaba wa maadhimisha ya mwaka wa 44 wa Ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amezuru haram toharifu ya Imam Khomeini (MA), mwasisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa kumuenzi na kumsomea Faatiha kiongozi huyo mwenye adhama kubwa wa taifa la Iran.
Habari ID: 3476493    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/31

Ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapunduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei mapema leo asubuhi amefanya ziara katika Haram toharifu ya Imam Khomeini MA, mwasisi wa Jamhuri ya Kiislamu na maziara ya Mashahidi katika Makaburi ya Behesht Zahra SA kusini mwa Tehran.
Habari ID: 3474873    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/31